Msaada: Kompyuta yangu haiwaki

Mr Enock

Member
Dec 5, 2019
5
0
Msaada wakuu naona ngoma imegoma inaishia hapo tu yaani

IMG_20200722_151407_479.jpg
 
Tafuta DvD ya windows 7 au Flash disk bootable windows 7 then google how to install windows
 
wamesema mabadiliko ya karibuni ya hardware au software yatakua yameinstall file ambalo limeharibika au halijakaa vizuri au inaweza kuwa virus kutoka kwenye chanzo kisichojulikana.....kama una CD au flash yenye windows restart computer yako kwenye hiyo flash kisha chagua recovery took ili ijirekebishe yenyewe then itawaka kawaida....hapo panatosha...
 
Ahsante sana mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom