Msaada: Kitovu cha mtoto kimevimba

Msaada: Kitovu cha mtoto kimevimba

Mi najua huwa baadae kinarudi kinakua kidogo.... mtoto akiwa analialia ndio kinazidi ukubwa ila kitarudi
 
mwanangu alipozaliwa hospital walibana kitovu na vile vidude vya plastic kilipo katika muda kidogo nikaona kama vile mtoto anakua na kitovu kikubwa ila baada ya muda kidogo chenyewe kiliingia ndani na sasa mtoto yuko poa kabisa, kama sio kikubwa cha kutisha muache kitarudi chenyewe
 
kinatoa chochote? usaha, dam au maji maji??

kama hakitoi chochote na hospital wamethibitisha ni kiko sawa mfunge mtoto na shilingi mia tano ya sarafu ile ya silver kwa plaster au mjomba wake amweke dole gumba la mguu bila kutumia nguvu afanye kama anakisukumia ndan mara tano
Hii ya kukigusa kwa dole gumba nime apply kwa mtoto wa sister miaka ya nyuma na kikarudi
 
Back
Top Bottom