Msaada: Kitkat to Lollipop

MOSintel Inc

JF-Expert Member
Mar 24, 2016
817
589
Naomba nifahamu jinsi ya kubadili android version yangu 4.4.2 kitkat to Lollipop 5.0+ simu yangu ni HTC ONE M7.
 
HTC Sync Manager Overview | HTC United States

Download hiyo application hapo then jaribu kuupdate yenyewe itadownload na kuinstall the latest update depending na HTC yako ni ipi locked au unlocked sema jua tu kuwa update ni 1gb hivi
Kama ikishidikana utabidi utafute firmware yako online manually then update kwa kutumia hiyo application
 
habary mkuu na mm natumia galaxy note 2 kitkat nifanyaje ili niweze pata lillpop
 
Back
Top Bottom