Msaada, Kitasa kimegoma kufunguka na funguo umenasia ndani

MUBIKU

JF-Expert Member
Oct 24, 2014
276
376
Wakuu baada ya Jana kuweka kitasa kipya Leo, kimegoma kufunguka na funguo imenasia ndan, Mwenye ujuzi , idea au uzoefu
Naomben msaada Massa 2 sasa Niko nje
15555900149927304518828783986046.jpg
 
Aina hiyo ya vitasa ni rahisi sana kuharibika. Kama funguo imenasa hicho tayari kimeshaharibika.
Vunja, nunua kitasa kingine. Nunua vile vya funguo kubwa
 
Back
Top Bottom