Habari wana jamiiforums naomba msaada wenu kuhusu Decoder ya Azam TV kila nikiiwasha haiwaki hadi mwisho na badala yake inaamdika neno Boot na kuishia hapo!
Tatizo hili linasababishwa na nini? Msaada wenu tafadhali, nimejaribu kutumia remote nione kama naweza kufika kwenye menu yoyote lakini hakuna responce yoyote.
Hapo wakija watakwambia ubadili LNB na Hdmi cable umpe fundi elfu 25 wakati walikuuzia wao na wakakufungia wao. Ninacho hapa cha kwangu nacho kina tabia kama hiyo.