Msaada kisheria | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada kisheria

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by PANGALELI, Aug 27, 2012.

 1. P

  PANGALELI New Member

  #1
  Aug 27, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Halo watanzania wenzangu Mimi ni mwalimu nafanyakazi mkoa wa Lindi tena wilaya ya Lindi vijijini nasikitika kwamba mwajiri wangu amenikata mshahara kwa sababu za mgomo wa walimu uliopita.
  Inaniuma sana kwani mazingira ninayofanyia kazi ni magumu lakini pamoja na ugumu wake mwajiri wangu badala ya kunifariji ananiongezea ugumu si wa mazingira tu bali sasa ni wa waisha.
  Ombi langu kwenu wanasheria naomba msaada wa kisheria ili niidai haki yangu.
   
Loading...