clearance nnazo, na kituo cha police wamekanusha kuhusu hilo suala la upelelez kwa sabab hakuna kesi iliofunguliwa!Pole sana Mkuu. Je ulibaki na clearance form ambayo ilisainiwa na kugongwa Mhuri na line Meneja wako? Ikithibitisha kuwa hakuna kitu unachodaiwa?
Unawadai shilingi ngapi hiyo kampuni?
Uchunguzi kuhusu huo upotevu wa vifaa unaisha lini?
Pia, umedhalilishwa kivipi Mkuu? Kama kweli kuna upotevu na wanafanya uchunguzi sioni sababu ya kusema eti umedhalilishwa mkuu maana kama kuna upotevu ulifanyika na hata kama hauja Fanya wewe huo upotevu kampuni ina haki ya kwenda kutoa taarifa police.