Msaada kisheria; Vyuo vya kati vinaruhusiwa kuendesha masomo mpaka usiku?

Mar 2, 2017
14
7
Habarini ndugu na jamaa wa humu JF..

Kuna mdogo wangu anaaoma diploma ya ualimu ngazi ya msingi, bahati mbaya au nzuri haishi chuoni(hostel) anatokea nyumbani kwwnda masomoni kila siku siku za masomo. sasa kwa bahati mbaya au nzuri ratiba yao ya masomo imebadilishwa. vipindi vinaanza saa nane mchana vinaisha saa mbili za usiku. anaishi umbali wa Km 45 akiondoka chuoni saa mbili usiku baada ya kipindi anafika nyumbani saa tano kasoro usiku.

msaada wangu kwenu naomba kujulishwa au kuelekezwa kuwa vyuo vya kati navyo vinaruhuziwa na NACTE kuwa masomo yaaendeshwe mpaka usiku wa saa mbili?
hali ya kuwa wanafunzi wote hawaishi hostel.
 
Back
Top Bottom