Umeona joho ukajua umekutana na Yesu kristoWakuu kwema?
Kuanzia mwaka 2012 nilikua nanunua mashamba nje ya mji kidogo kidogo kwa mzee mmoja huko mkoani kwa jumla ya Tsh M3.
Mwaka 2017 watu wote wenye maeneo huko tukaitwa kistaarabu kabisa na kanisa kupitia kwa mkuu wa mkoa na tukaombwa tuliuzie kanisa eneo hilo kwakuwa linataka kufanya uwekezaji mkubwa sana wa chuo kikuu na hospitali
Baada ya majadiliano marefu tukakubali, na kila mmoja akawa anakwenda ofisini kupatana bei na wachungaji/maaskofu na majoho yao.
Binafsi tulipatana sh M38
Tukapewa sh 1M kila kama kishika uchumba na tukaambiwa tusubiri ndani ya mwaka wafadhili watakua wametuma hela na tutamaliziwa hela zetu
Miaka mitatu ikapita kila siku sound tu
Mwaka wa 5 tukabana kwamba tunataka hela zetu na thamani ya viwanja imekua kubwa hivyo watulipe na fidia ya ongezeko la thamani
This time wakaja watu wa serikali, maafisa aridhi
Tukaambiwa itafanyika tathmini upya kupitia maafisa aridhi na wao ndio watatoa tathmini ya bei kulingana na uhalisia
Tukajipa moyo labda tathmini ya wataalamu itakua nzuri kuliko ya awali
Aisee wakanitathminia 12M tu kutoka M38 ya awali na hapo nimekwisha tafuna 1M
Tukakubaliana kugoma na tuka demand kuonana na wachungaji/Maaskofu tuliopatana nao..... utawaona wapi???? Hapo tuna deal na maafisa wa serikali tu sasa
Tukanyooka kwa RC akatusikiliza kisha akatuuliza mnayo mikataba kusapoti madai yenu? Tukatoa macho kama mjusi kabanwa na mlango
Akasema kama hatujaridhika tuende mahakamani
Njaa mbaya kuna wenzetu wakakubali wakaandikiwa mikataba ya tathmini mpya na kupokea malipo yao
Wabishi bado tunakomaa
Tulio komaa ni wale ambao tulinunua maeneo lakini wenyeji wengi wamekubali kupokea hela
kwakuwa hakuna maandishi ya makubaliano ya kuuziana maeneo hivyo tumeamua kwamba hatujakubaliana na kanisa chochote na hatuuzi maeneo yetu la sivyo wakae chini na sisi tupatane bei na sio kunipangia bei. HII IMEKAAJE KISHERIA?
Maana tunatishwa kwamba serikali inauwezo wa kutulazimisha ikiamua kama inavyofanya kwenye upanuzi wa barabara
Mind you that haya ni mashamba tu hayana hati zaidi ya hati za makubaliano ya mauziano za mtendaji wa kijiji
Majoho yametuponza
Ulichofeli ni kula kishika uchumba njia mojawapo ya negotiation ambayo huwa hata mimi naitumia kwenye biashara ni hii ya kishika uchumba ulitakiwa uirudishe ile hela mwaka huo huo.Kwenye mkataba wa kishika uchumba uengandika kuwa ungeirudisha kama haukulipwa. Hata ukienda kununua gari unatoa kishika uchumba na unapewa timelimit muda ukipita wahindi wanakurudishia hela yako.Gari wanamuuzia mteja mwingine. Ila kama ukitoa kishika uchumba bila mkataba hela yako inaliwa. Kuwa makini hii shida iliyotokea iwe fundisho kwenye maisha yako. Kukosea sio kosa bali kurudia kosa hata mimi katika heka heka za maisha ilibidi nijifunze kucontrol sana hisia.Wakuu kwema?
Kuanzia mwaka 2012 nilikua nanunua mashamba nje ya mji kidogo kidogo kwa mzee mmoja huko mkoani kwa jumla ya Tsh M3.
Mwaka 2017 watu wote wenye maeneo huko tukaitwa kistaarabu kabisa na kanisa kupitia kwa mkuu wa mkoa na tukaombwa tuliuzie kanisa eneo hilo kwakuwa linataka kufanya uwekezaji mkubwa sana wa chuo kikuu na hospitali
Baada ya majadiliano marefu tukakubali, na kila mmoja akawa anakwenda ofisini kupatana bei na wachungaji/maaskofu na majoho yao.
Binafsi tulipatana sh M38
Tukapewa sh 1M kila kama kishika uchumba na tukaambiwa tusubiri ndani ya mwaka wafadhili watakua wametuma hela na tutamaliziwa hela zetu
Miaka mitatu ikapita kila siku sound tu
Mwaka wa 5 tukabana kwamba tunataka hela zetu na thamani ya viwanja imekua kubwa hivyo watulipe na fidia ya ongezeko la thamani
This time wakaja watu wa serikali, maafisa aridhi
Tukaambiwa itafanyika tathmini upya kupitia maafisa aridhi na wao ndio watatoa tathmini ya bei kulingana na uhalisia
Tukajipa moyo labda tathmini ya wataalamu itakua nzuri kuliko ya awali
Aisee wakanitathminia 12M tu kutoka M38 ya awali na hapo nimekwisha tafuna 1M
Tukakubaliana kugoma na tuka demand kuonana na wachungaji/Maaskofu tuliopatana nao..... utawaona wapi???? Hapo tuna deal na maafisa wa serikali tu sasa
Tukanyooka kwa RC akatusikiliza kisha akatuuliza mnayo mikataba kusapoti madai yenu? Tukatoa macho kama mjusi kabanwa na mlango
Akasema kama hatujaridhika tuende mahakamani
Njaa mbaya kuna wenzetu wakakubali wakaandikiwa mikataba ya tathmini mpya na kupokea malipo yao
Wabishi bado tunakomaa
Tulio komaa ni wale ambao tulinunua maeneo lakini wenyeji wengi wamekubali kupokea hela
kwakuwa hakuna maandishi ya makubaliano ya kuuziana maeneo hivyo tumeamua kwamba hatujakubaliana na kanisa chochote na hatuuzi maeneo yetu la sivyo wakae chini na sisi tupatane bei na sio kunipangia bei. HII IMEKAAJE KISHERIA?
Maana tunatishwa kwamba serikali inauwezo wa kutulazimisha ikiamua kama inavyofanya kwenye upanuzi wa barabara
Mind you that haya ni mashamba tu hayana hati zaidi ya hati za makubaliano ya mauziano za mtendaji wa kijiji
Majoho yametuponza
Mlipopewa hiyo Milioni 1 mliandikishwa sehemu au kusainishwa?Wakuu kwema?

Mlipopewa hiyo Milioni 1 mliandikishwa sehemu au kusainishwa?
Kama hapana, basi komaeni hivyo hivyo, hamna mtu wa kuwafanya chochote, wanawatisha tu hapo kuwatia hofu na jambajamba. Kama ulinunua eneo kihalali kabisa na wewe ndo mmiliki, relax haki yote ipo kwako, na nguvu ipo kwako zaidi.
Ila kama wakati unapewa 1m kuna makaratasi mlisainishwa, na yamkini hata hukusoma vizuri yalikua yanasemaje (kama kawaida yetu Watanzania), basi kuwa na wasiwasi sana, na ikiwezekana tafuta ushauri wa mwanasheria MAY BE ataweza kukusaidia na kukuokoa.
Ukiona faida ipo usiache Hela.
Kuna Mzee yupo ndani anaumwa stroke alikua na nyumba maeneo x ni marketable mjini mtu alifika milion 900 ajenge hotel akachomoa anataka billion,wamekuja watu wa SGR tathimini kalipwa milion 120 kagoma ardhi Mali ya serikali waliogoma wote wakafungue kesi mahakamani hawawezi chelewesha miradi ya wananchi walipewa Ultimum ya kuondoa vitu vyao mda ukapita zilikuja defender na greda greda walivyobahatika kuokoa waliokoa.
Kacheze na kesi mahakamani Kama pesa zitakuwa bado Bank zinakusubiria.
Tuache tamaa huna hati miliki eneo ni squatter ulijenga nyumba miaka 50 iliyopita au ya urithi mtu kafika 900 unashangaa Nini.
We
Kosa kubwa ni kupokea hiyo 1m bila maandishi. Mngekuwa mmeandikishiana maana yake kwenye mkataba ingesomeka umepokea 1m na bado unadai 37m.
π π π π₯Ή π₯Ή π π π€£ π€£ π€£Yaani unasahau misingi yote ya kisheria na unawaamini 100%
Mimi nadhani kama hakuna maandishi hata hiyo milioni moja waliyopokea nayo haina ushahidi. Kwa hiyo wakatae kuwa hawakupokea.Kosa kubwa ni kupokea hiyo 1m bila maandishi. Mngekuwa mmeandikishiana maana yake kwenye mkataba ingesomeka umepokea 1m na bado unadai 37m.
Mimi nadhani kama hakuna maandishi hata hiyo milioni moja waliyopokea nayo haina ushahidi. Kwa hiyo wakatae kuwa hawakupokea.
Mimi nadhani mchukue maamuzi ya kuendeleza maeneo yenu hata kwa kupanda miti.Mkuu hapa ndio tunasimamia
Tulikua tunaitwa majina unaingia ndani unapewa bahasha yako unasepa
Hakuna kusaini popote
Kwenye pesa hakuna cha joho wala barakashia bruhTatizo majoho mkuu
Walitumia vibaya imani yetu kwao