Msaada: Kipengele cha occupation hakionekani HESLB

Msaada: Kipengele cha occupation hakionekani HESLB

chazdlamarck

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2017
Posts
256
Reaction score
95
Samahan wakuu leo nimejaribu kumwombea mdogo wangu mkopo kupitia heslb lakn cha ajabu kwenye kipengele cha occupation sioni kaz ya wazaz wake kwan wao ni wakulima na hiyo sion kwenye list, nifanyeje wakuu
Aliyejaza akakutana na mambo kama hayo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh.bado haujapata majibu?nimekutana nacho apa wakati namsaidia ndugu yangu mkuu
 
Back
Top Bottom