Msaada: Kinyama kimeota sehemu za siri

Wewe ndo umejibu vyema watu wanachanganya bawasiri inakaa kwenye haja kubwa. Kuna binti aliwahi kupata hii kitu but alienda hospitali ikakatwa, now yupo vizuri. Mkuu nenda hospital
Basiri iko sehemu ya haja kubwa sio ukeni,kwenye uke wengi wanapata batholin cyst au virgina cyst,nenda hospital utapata huduma ya kufaa
Basiri iko sehemu ya haja kubwa sio ukeni,kwenye uke wengi wanapata batholin cyst au virgina cyst,nenda hospital utapata huduma ya kufaa
 
Wati ni wavivu wankusoma. Halafu unasimia JF kisima Cha maarifa Kuna wasomi kibao. Inawezekana mambumbu ni wengi kuliko wasomi🤣🤣🤣🤣
Watu wanajibu kichwa Cha habari tu
Nilichogundua kwenye post hii watu wanajibu Kichwa cha habari. Hawajasoma habari yenyewe.
Wabongo acheni uvivu wa kusoma. Ndio maana tunaferi mambo mengi
 
Mambo serious kama haya inatakiwa yaanzie hospitali kwanza ndugu. Kuleta huku utakutana mijitu mingine ina mambo ya ajabu sana. Mfano ni hao wanaodai uweke picha.
NI VIZURI PIA KUANZIA HUKU, KUNA WATAALAMU WATAWEZA KUMUELEKEZA HOSPITALI/DAKTARI MZURI.
 
Kwa uzoefu wangu huku kwa wangoni huwa wanapakwa dawa na kukatwa kitamaduni zao wanasema mwanamke akiwa hivo hupelekea mtoto kuumwa mara kwa mara na hata mda mwingine mimba zake huwa zina toka ukikutan n mgoni halisi mtu mzimaa muulize ila kabla ya yote wahi hospital kwanza upate huduma zaidi ikishindikan kikaota tena ndio utumie njia za asili
 
Mimi ni Mngoni wa Liparamba, hii kitu unayosema wewe kule kwetu huitwa "likango" ni tofauti kidogo na hiki kinachozungumzwa na mtoa mada.

Labda kama tungeona kwanza kwa picha ili tumwelekeze nini cha kufanya.
 
Unataka tiba hutaki mambo ya ufafanuzi kwenye tiba za asili yanakujaje mpeleke hospitali doctor akamuingizie mB** kabla hajamuoperate.
Au mlete kwangu kinyoka changu kile nyama ugonjwa uishe
 
Mimi ni Mngoni wa Liparamba, hii kitu unayosema wewe kule kwetu huitwa "likango" ni tofauti kidogo na hiki kinachozungumzwa na mtoa mada.

Labda kama tungeona kwanza kwa picha ili tumwelekeze nini cha kufanya.

Ndio “likango” nimekumbuka ila aende hospital kwanza
 
Back
Top Bottom