msaada:KING'AMUZI KINAZINGUA

brian360

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2012
Posts
224
Reaction score
34
Wana jamvi sikielewi hiki king'amuz cha startimes zile non-conax chanel zinaonyesha vizuri lkn hizi zao sasa kila saa zinakwama kwama sielewi tatizo ni mitambo au kwa7bu nakaa nje ya mji lkn..non conax napata bila shida.
 
Hizo ni za agape(ting). Kwa hivyo jibu la haraka tu, antenna yako itakuwa imecheza kidogo au nguvu ya transmission ya startimes imepungua.
 
Hizo ni za agape(ting). Kwa hivyo jibu la haraka tu, antenna yako itakuwa imecheza kidogo au nguvu ya transmission ya startimes imepungua.

kwani huko mjini startimes inazingua kama huku.
 
Hawa Star times mitambo haina nguvu Au?
 
je tatizo hilo lomeanza lini? kama nimeanza mara ulipomaliza installatiom basi tatizo linaweza kuwa uko mbali na coverage aea ya startimes.. Lakini kama limetokea ghafla basi antennayako imebadili uelekeo au hali ya hewa imesababisha kuwe na mawimbi yasiyo na nguvu..
by Eng Mbako
 

hapana imeanza ghafla tu yaani baada ya ciku ya UEFA ya madrid mpaka leo!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…