brian360 JF-Expert Member Joined Mar 14, 2012 Posts 224 Reaction score 34 May 1, 2012 #1 Wana jamvi sikielewi hiki king'amuz cha startimes zile nön-conax chanel zinaonyesha vizuri lkn hizi zao sasa kila saa zinakwama kwama sielewi tatizo ni mitambo au kwa7bu nakaa nje ya mji lkn..non conax napata bila shida.
Wana jamvi sikielewi hiki king'amuz cha startimes zile nön-conax chanel zinaonyesha vizuri lkn hizi zao sasa kila saa zinakwama kwama sielewi tatizo ni mitambo au kwa7bu nakaa nje ya mji lkn..non conax napata bila shida.