Msaada king'amuzi cha startimes

Msaada king'amuzi cha startimes

Rangi ya buti

Member
Joined
Sep 5, 2015
Posts
57
Reaction score
39
Wakuu habari.. Polen na majukumu ya kulijenga taifa letu pendwa!! /
Nimefunga king'amuzi cha startimes cha dish na kinafanya kazi vyema.. Pia nina decoder ya startimes ile ya antena niliyokuwa nakitumia awali. Sasa kutokana na kubadilisha mazingira kwa sasa siwezi kutumia tena kile kingamuzi cha antena kwan hapa nilipo hakishiki. Swali ni je naweza kutumia dish moja la startime kwa ving'amuzi viwilii (kimoja wapo ni kile cha antena) vizuri na kila decoder iwe inajitegemea (nikimaanisha controlling) bila kuwa na uhusiano wa decoder nyingine? Natanguliza shukrani...
 
King'amuzi cha antenna hakiwezi kufanya kazi kwenye dishi, sababu hata ukiangalia pini kule nyuma zipo tofauti.

Kama vipi ongeza alnb kwenye dishi ongeza na king'amuzi, ili uwe na ving'amuzi viwili kwa dishi moja.
 
Asante sana mkuu...... Nitafanya hivyo
 
King'amuzi cha antenna hakiwezi kufanya kazi kwenye dishi, sababu hata ukiangalia pini kule nyuma zipo tofauti.

Kama vipi ongeza alnb kwenye dishi ongeza na king'amuzi, ili uwe na ving'amuzi viwili kwa dishi moja.
Vipi kwa king'amuzi cha dish mkuu, kinaweza kutumika kwa antena?
 
King'amuzi cha antenna hakiwezi kufanya kazi kwenye dishi, sababu hata ukiangalia pini kule nyuma zipo tofauti.

Kama vipi ongeza alnb kwenye dishi ongeza na king'amuzi, ili uwe na ving'amuzi viwili kwa dishi moja.
Ila siku hizi startimes wana decoder ambazo unaweza tumia dish au antena
 
Back
Top Bottom