Msaada: King'amuzi cha Star Times

MONA WA KYEN

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2016
Posts
345
Reaction score
273
Msaada tafadhali,

Kuna mtu kanunua kifurushi cha Star Times baada ya kuingiza vocha kinaonesha smart card error ndo nini?

Na tufanye nini kioneshe?
 
Set vizur mti kama siyo mti kamba inayo toka kwenye mti imekatika ndani/kama siyo hivyo nitafute 0757307765
 
MSAADA TAFADHALI
KUNA MTU KANUNUA KIFURUSHI CHA STAR TIMES BAADA YA KUINGIZA VOCHA KINAONESHA SMART CARD ERROR NDO NINI? NA TUFANYE NINI KIONESHE?
Chomeka vzr umekosea kuna alama ukiigeuza itakuonesha jinsi ya kuweka. Alama kma niznavyokuwaga sim card
 
Chomeka vzr umekosea kuna alama ukiigeuza itakuonesha jinsi ya kuweka. Alama kma niznavyokuwaga sim card
KILE KIALAMA SII KINAKAA KAMA UNAWEKA SIMCARD NAMAANISHA KINAANGALIA CHINI?
 
Set vizur mti kama siyo mti kamba inayo toka kwenye mti imekatika ndani/kama siyo hivyo nitafute 0757307765
NIMEJARIBU KWENYE TV NYINGINE KINAONESHA, NIMEJARIBU KUZUNGUSHA MTI BADO MKUU
 
Mimi changu Station zote zinaonyesha,toka juzi nikiweka Clouds TV kinanitaka niweke Password!..sasa sijui tatizo nini?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…