Msaada kwenye tuta.
Hivi kama umelipia pesa ya zaidi katika king'smuzi cha Azam kama elfu 40, elfu 28 wakata kama gharama yako ya kifurushi, ikabaki elfu 12 unaitaza kwa namba zipi na kujua kiasi kilichomo katika account yako?
*150*50*5#
Sio cha wizi hicho.!Msaada, ajamani king'amuzi changu dogo kaweka passowrd Kama, kuna fundi au mtalaam Wa kunisaidia anielekeze nampooza na ya maji hadi setting inaitaji password