Msaada kina dada...

Hili Nalo

New Member
Joined
Jun 14, 2020
Posts
2
Reaction score
0
Hivi ni kwanini mwanamke anakuwa na wivu na mume wake mpaka anamchukia, na dawa yake ni nini?

 
Hisia ni mtu binafsi alivyo.
Chuki haiji hivihivi hujengwa ama kwa maneno ya uongo ama kwa kutendwa
Saa ingine mtu akichoka kufanyiwa visa na vitimbi huamua kufanya lolote kumaliza hasira.

Hiyo lolote ndo: gunia mbili za mkaa, mapanga, visu, ngumi, kumkodia majambazi au wabakaji, kuharibu mali mlizochuma pamoja na wengine kujitoa uhai au kumtoa uhai mwenzie.

Nashukuru Mungu sijakulia kwenye mazingira ya walezi wangu kugombana, kupigana na kitamkiana maneno ya kukashifiana mbele yetu wala kuharibu mali za nyumbani.

Nikiona jamii inavyofanya violence hasa mbele ya watoto, nasikitika maana namna ya kuondoa hiyo mbegu kwa kizazi kijacho ni changamoto na si rahisi.

All in all, hasira hasara.

Hues nawaambia watu, kama kweli umekasirika kapigane na simba. Maana mtu mwenye hasira anakuwaga hana woga kabisa.

Matata K.
 
Na sisi kina bibi tunaruhusiwa kukushauri?
 
Aisee halafu usiombe huo wivu uambatane na gubu...biblia yenyewe ilisema ni heri mwanaume aishi nyikani au kwenhe dari kuliko kuishi nyumba moja na mwanamke wa hivo!!
 
Mfano tumekuwa pamoja, tukajenga, then tukaachana halafu nikaleta mwanamke mwingine kwenye nyumba hiyo, ukipata nafasi utaacha kuichoma?

Wala sitafanya chochote

Kisasi ni cha Mungu,mtajua wenyewe na maisha yenu mapya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…