1.Fanya uchaguzi sahihi wa mbegu
2.Uchaguzi sahihi wa ardhi
3.Matumizi sahihi ya mbolea na dawa za kuua wadudu na booster kwa ajili ya kupata Maua mengi
4.Kama eneo halina rutuba Sana usisahau kupiga mbolea
5.Hakikisha shamba ni Safi,ufuta unastawi vizuri kwenye shamba lililolimwa na kusafishwa vizuri.
yangu ni hayo,wengine watakula madini mengine zaidi.