Msaada kilimo cha hoho

Wakuu hivi kuna tofauti gani kati ya pilipili hoho nyekundu au njano na hizi za kawaida? Je ni kweli bei yake ibatodautiana?

Nazipenda sana kwa salad

IMG_20160910_185524.jpg
 
Habari WanaJamiiForums, natafuta masoko ya pilipili mbuzi na hoho nina mzigo wa kutosha baada ya week 2. Mpaka sasa sijajua ntapeleka soko gani ni kilimo changu cha kwanza.
ndugu bei za mbegu za pilipili hoho ni kiasi gan na haswa zile za njano ja nyekundu
 
Wakuu hivi kuna tofauti gani kati ya pilipili hoho nyekundu au njano na hizi za kawaida? Je ni kweli bei yake ibatodautiana?
utofauti wake ni kwenye kukomaa...zikianza kukomaa zinaanza kuwa njano mpaka kua nyekundu...zikiwa green zinakua bado hazijakomaa....hope umenisoma...
 
Habari WanaJamiiForums, natafuta masoko ya pilipili mbuzi na hoho nina mzigo wa kutosha baada ya week 2. Mpaka sasa sijajua ntapeleka soko gani ni kilimo changu cha kwanza.
Nichek pili pili mbuzi pesa kabisa hiyo Mkuu 0763370175
 
Habari WanaJamiiForums, natafuta masoko ya pilipili mbuzi na hoho nina mzigo wa kutosha baada ya week 2. Mpaka sasa sijajua ntapeleka soko gani ni kilimo changu cha kwanza.

Mkuu naomba unifahamishe ulimaji wa pilipili mbuzi kama hautojali

Ahsante Mkuu!
 
Mkuu hili zao mimi nalima tena sana tu kwnza kwa hiyo bajeti aliyoiweka ni ndogo sana mbegu tu kama unapanda mbegu chotara mf tycoon kwa hk 1 ni sh 250000 kukodisha shamba inategemea kiwango cha chini kbs ni 100000 kulimwa trekta tsh45000 kupiga halo tsh 40000 kulima matuta tsh 80000 mbolea ya kupandia kg100 =140000 vibarua wa kupanda tsh 50000 madawa ukungu+sumu=250000 mbolea kuumwa kg100 =tsh120000 mbolea kuzalishia kg100 =100000 ghalama za umwagiliaji namaanisha petrol tsh120000 palizi tsh100000 boy shamba tsh200000 ziada tsh 200000 soko inategemea na msimu kunakipindi gunia mmoja ni 80000-150000 kwa hk moja ukiitunza vizuri wastani wa maroba 20-30 kwa wiki pilipili hoho inavunwa kwa wastani wa miezi 3-6 inategemea na hali ya hewa

Mkuu masanzu , heshima kwako.

Please naomba nikuPM, kuna jambo ningependa unishauri personally. Ahsante
 
Soko lipo Chief kama upo Dar nenda soko la mabibo pale pili pili mbuzi utauza hata kama una roba mia.....asikudanganye mtu pili pili mbuzi zikishuka bei roba ni 45000-50000tshs....kuanzia November zinafika mpaka 240,000tshs kwa roba ya debe tano....
Mkuu soko lake kwa sasa lipoje?
 
Habari wana jamii naomba Muongozo wa kilimo cha pilipili mbuzi madawa. mbolea na taratibu zake hadi kuvuna
 
Mkuu hili zao mimi nalima tena sana tu kwnza kwa hiyo bajeti aliyoiweka ni ndogo sana mbegu tu kama unapanda mbegu chotara mf tycoon kwa hk 1 ni sh 250000 kukodisha shamba inategemea kiwango cha chini kbs ni 100000 kulimwa trekta tsh45000 kupiga halo tsh 40000 kulima matuta tsh 80000 mbolea ya kupandia kg100 =140000 vibarua wa kupanda tsh 50000 madawa ukungu+sumu=250000 mbolea kuumwa kg100 =tsh120000 mbolea kuzalishia kg100 =100000 ghalama za umwagiliaji namaanisha petrol tsh120000 palizi tsh100000 boy shamba tsh200000 ziada tsh 200000 soko inategemea na msimu kunakipindi gunia mmoja ni 80000-150000 kwa hk moja ukiitunza vizuri wastani wa maroba 20-30 kwa wiki pilipili hoho inavunwa kwa wastani wa miezi 3-6 inategemea na hali ya hewa
Mkuu unalimia wapi wanapokodisha mashamba na je hiyo laki moja ya kukodi ni kwa kipindi cha msimu mzima au ni kwa miezi mitatu mitatu? Natanguliza shukran.
 
Hivi kwanini huwa mnahangaika kwenda mbali kwenye mashamba ya gharama wakati hapo Rufiji km.170 tu toka mjini kuna maji ya kutosha na bei ya kukodi shamba ni karibu na bure
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom