Msaada kilimo cha hoho

Wanaukumbi

Naomba mawazo yenu nipo najiandaa kulima PILIPILI HOHO maeneo ya kigamboni katika OPEN FIELD heka 1 natumia umwagiliaji wa drip

Naomba msaada wa soko la pilipili hoho pamoja na mbegu ambayo inafaa kwa kilimo hiki
Sio soko tu hoho hailimwi kwenye jua kali kuna kitu kinaitwa jua kali na hoho havipatani kabisa hakikisha shm haina mionzi ya jua manake kigambon kule si jua kama Dar , ushauri tu

Mkuu hili zao mimi nalima tena sana tu kwnza kwa hiyo bajeti aliyoiweka ni ndogo sana mbegu tu kama unapanda mbegu chotara mf tycoon kwa hk 1 ni sh 250000 kukodisha shamba inategemea kiwango cha chini kbs ni 100000 kulimwa trekta tsh45000 kupiga halo tsh 40000 kulima matuta tsh 80000 mbolea ya kupandia kg100 =140000 vibarua wa kupanda tsh 50000 madawa ukungu+sumu=250000 mbolea kuumwa kg100 =tsh120000 mbolea kuzalishia kg100 =100000 ghalama za umwagiliaji namaanisha petrol tsh120000 palizi tsh100000 boy shamba tsh200000 ziada tsh 200000 soko inategemea na msimu kunakipindi gunia mmoja ni 80000-150000 kwa hk moja ukiitunza vizuri wastani wa maroba 20-30 kwa wiki pilipili hoho inavunwa kwa wastani wa miezi 3-6 inategemea na hali ya hewa
Ninaplani ua kupanda miche ya hoho 15000 hadi 20000. Mkuu naomba ushaur wako interms ya mbegu na masoko pia. Ninaandaa eneo lenye ukubwa wa 7000m2. Hili eneo halijawai limwa zaidi ya miaka 30. Nilijaribu kulima kama miche 300 aina ya calfonia wonder na ziliota vizur bila kutumia mbolea za dukani na hta hazikushambuliwa na magonjwa. Yani sikuweka chemical ya aina yoyote. Mavuno yalikuwa mengi sasa imenihamasisha kulima on a large scale.
 
Mkuu hili zao mimi nalima tena sana tu kwnza kwa hiyo bajeti aliyoiweka ni ndogo sana mbegu tu kama unapanda mbegu chotara mf tycoon kwa hk 1 ni sh 250000 kukodisha shamba inategemea kiwango cha chini kbs ni 100000 kulimwa trekta tsh45000 kupiga halo tsh 40000 kulima matuta tsh 80000 mbolea ya kupandia kg100 =140000 vibarua wa kupanda tsh 50000 madawa ukungu+sumu=250000 mbolea kuumwa kg100 =tsh120000 mbolea kuzalishia kg100 =100000 ghalama za umwagiliaji namaanisha petrol tsh120000 palizi tsh100000 boy shamba tsh200000 ziada tsh 200000 soko inategemea na msimu kunakipindi gunia mmoja ni 80000-150000 kwa hk moja ukiitunza vizuri wastani wa maroba 20-30 kwa wiki pilipili hoho inavunwa kwa wastani wa miezi 3-6 inategemea na hali ya hewa
Mkuu iyo hk 1 unakuwa umepanda miche mingapi?
 
habari ya leo watanzania na wanakilimo wenzangu wa jukwaa hili..ninatarajia mimi pamoja na wenzangu kulima hoho miez ya karibuni sasa nlikua naomba mwenye ufahamu ama elimu yoyote au ambae ulishalima zao hili siku za karibuni ama kwa wakati huu unalilima, zaid kuhusu gharama tokea kupanda hadi kuvuna na pia BEI YA GUNIA MOJA KWA SASA ni sh ngapi
asanteni.
 
Just being curious. Unalima kisha unatafuta Soko au unatafuta Soko ukipata ndio Unalima. Naomba kujuzwa maana napata wasiwasi ikitokea Soko likakosekana na mazao yamekoma itakuwaje hapo.

Mleta Mada nahisi ulikosea kitu sehemu fulani wakati wa maandalixi ya huu mradi wa kilimo Cha mbogamboga.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom