WENYELE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,461
- 1,544
Habari wakuu,
Kijana wangu wa miaka 8 alizaliwa salama cha ajabu sasa hivi mguu umepinda.
Nilienda hospitali tukaambiwa mguu wake haujaunganika kwenye goti, nikampeleka Bugando ili afanyiwe operation bahati mbaya hakufanikiwa sababu ya daktari wake kutokuwepo kwa muda mrefu.
Kwa kuwa alikuwa hana bima na hela za kuunga unga ilibidi kumrudisha kijijini.
Sasa nimepata vihela kidogo nataka nimrudishe tena, ila natafuta kliniki ya private bora kama ipo Mwanza, nimpeleke akafanyiwe operation.
Wataalamu naomba msaada wenu kujua kliniki bora ya mifupa jijini Mwanza ili nimpeleke dogo.
Lengo langu la kutafuta private ni ili mtoto apate huduma ya haraka, pale Bugando tulienda zaidi ya miezi miwili kila siku ilikuwa lugha tu.