Msaada, kiingereza kinanipa shida.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada, kiingereza kinanipa shida..

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by tindikalikali, May 11, 2012.

 1. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #1
  May 11, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  wakuu mimi ni mhitimu wa chuo kikuu. Naweza kuandika vizuri hii lugha, ila shida inakuja kwenye kuongea...ni aibu kwangu na nimekosa kazi kama mbili kwa kushndwa kujieleza ipasavyo. Je inawezekana kujifunza kwa wakati huu? Je nitumie mbinu gani? Naomba mawazo yenu, nahitaji kujifunza kwa gharama yeyote.
   
 2. dr luv

  dr luv Member

  #2
  May 17, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nitafute kuna ticha angu anafundisha kiingereza cha kuongea kwa bei powa ww tu kama upo siliazi nitafute ila kama upo dar
   
 3. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #3
  May 18, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  nipm basi namba yako..nipo dar
   
 4. dr luv

  dr luv Member

  #4
  May 18, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  0788269389
   
 5. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #5
  May 18, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  asante nitakutafuta!
   
 6. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #6
  May 18, 2012
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 11,800
  Likes Received: 2,571
  Trophy Points: 280
  Sikiza BBC english mara kwa mara.
   
Loading...