Msaada kifua kisichopona

Aah sawa na kikohozi kina muda gan( siku/wiki/miezi/miaka ngapi tangu kikuanze?)
Ni miaka sasa, hata sikumbuki sikujua kama ni big issue kwahiyo sikuchukuliaga seriously kilivyonianzaga nikawaga natumia dawa za kifua kinapotea baadae kinarudi nikajua labda ni vumbi labda ndiyo linaniletea shida
 
Kama za hospitalini wameshindwa, jaribu dawa za kienyeji zikiwemo za kisunni na pamoja na mazoezi.
Huo muda wa mazoezi hata sipatagi mkuu, za hospital sijatumia sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…