Msaada kifua kisichopona

Ukivuta pumzi kwa mdomo, kifua kinaunguruma?
 
Asante mkuu nitaenda hospitali
 
Mkuu mbona hujaelezea kifua?
Umeelezea Koo kuwasha na kukohoa

Huko Dasalama, ndo mnafundishwa hivo Koo kuwasha, useme kifua kinasumbua?.
 
Nenda hospital moja ipo Moshi ni mabingwa wa matatizo ya kifua niliwahi kumpeleka Mgonjwa hapo nishaisahau jina sema kuijua ni rahisi tu ukiwa tayari kwa hilo hao jamaa ndio wanawaangalia sana watu waliofanya kazi za kwenye migodi kwa muda mrefu na kupata matatizo ya kifua wapo vizuri sana.
 
Mimi nipo Dar mkuu
 
Ipo maeneo gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…