Njia nyepesi ni kuchukua mkopo huo toka kwa rafiki yako,ndugu yako au hata jirani yako.Lakini tambua kuwa hakuna mtu ambaye atakupa mkopo kwa maneno tu.Inabidi ujipange unataka mkopo wa Tsh ngapi? Na utaurudishaje? Na ni biashara gani unayotaka kufanya n.k
Kopa kwa sababu maalum.Na ukiona hiyo ni ngumu basi tafuta asset ili ukope kwenye taasisi za fedha.
Kila la kheri.