Msaada kidogo

buyoya419

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2017
Posts
631
Reaction score
512
Ninatumia simu ya samsung

Sijui imepatwa na kifafa hii simu yaani kila siku kuanzia saa 3-5 asubuhi inakuwa inazima then inawaka inazima inawaka

Itachukua hata lisaa kuzima na kuwaka tu then baadaye inawaka na inakaa sawa tu

Ila ikifika mida hiyo lazima litokee tatizo hilo

Ina kama wiki toka tatizo hilo lianze

Msaada hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…