Kuna kitu kinaitwa course outline lazima uwe nayo aidha ununue au wengine malecturer wanagawa bure kulingana na idadi.
Kila moduke ina reference zake.kama sivyo basi kitabu chochote kinachohusiana na kozi yako kilichopo library ya chuo basi kinafaa kwa reference japo ni vema kuangalia zaidi zile zilizo kwenye course outline.