Kumbuka hiyo silaha ni kama umeazimizwa tu hata kama umeinunua pesa mrefu ukiitumia vibaya au kizembe serikali inaichukua tena bila fidia,anyway kumiliki silaha sio kitu kizuri sana kama hauna umuhimu sana,sio km watoto wa Rchuga akipata pesa kidogo anakimbilia kumiliki pistol unakuta yupo anacheza pool huku kainua shirt/t-shirt ili masela waione,huo ni ushamba,ukimiliki silaha atakiwi mtu baki kujua hata mwanao hafai kujua labda km anajitambua
Sent from my SM-G531H using
JamiiForums mobile app