Salaam wana JF. Naomba mwenye uelewa wa maduka yanayouza kengele za getini. Kengele zenyewe ziwe za kuonyesha picha kwenye screen ambayo imeunganishwa na hiyo kengele ukiwa ndani. Kwa ambao wanazitumia anaweza kunisaidia kujua ni aina ipi nzuri na imara (brand). Aksante.