Msaada kazi za Meli(Ubaharia)

Mkuu kazi za ubaharia zimekuwa ni changamoto kubwa sn,,

Kama huna moyo mgumu,,,unaweza kuishia njiani..

Mimi nilisoma mandatory miaka 10 iliyopita,,,,na vyeti vikaisha miaka mitano bila kupata kazi,,

Sababu ubaharia ni wito?

Nilifanya refresh,,, vyeti vyangu,, nikapata sea time miezi 6,,

Nikasoma rating,,,nikaingia melini,,kwa kununuwa kazi..

Tuwe wakweli mabaharia,,bila mchongo kupata kazi ni ngumu sn.
 
Kazi zipo ila inabidi ukomae upate agent atakaye kuunganisha na penyewe inabidi uwe na hela ya kununua nafasi.
Fursa nyingi zipo nchi za uarubuni
 
Kazi zipo ila inabidi ukomae upate agent atakaye kuunganisha na penyewe inabidi uwe na hela ya kununua nafasi.
Fursa nyingi zipo nchi za uarubuni
Hivi hii mshahara wake ni mzuri sana?,kwa fresh start huwa wanalipwaje mfano wa hata ukiwa baharia azam boats?
 
Kazi zipo ila inabidi ukomae upate agent atakaye kuunganisha na penyewe inabidi uwe na hela ya kununua nafasi.
Fursa nyingi zipo nchi za uarubuni
Ila kwa sasa zimefunguka,,,kazi za meli ni nyingi sana Saudia,,
Hasa baada ya RAIA wa Philippines na India corona kuwasumbuwa..

Mtoa mada nimemuuliza yupo rank gani,,
Aweze kusaidiwa ,,naona kakimbia.
 
Ila kwa sasa zimefunguka,,,kazi za meli ni nyingi sana Saudia,,
Hasa baada ya RAIA wa Philippines na India corona kuwasumbuwa..

Mtoa mada nimemuuliza yupo rank gani,,
Aweze kusaidiwa ,,naona kakimbia.
Ni kweli ni kuchangamkia fursa.
Nahis mtoa mada hajaelewa hata kitu anachooulizia huenda hata hajasomea zile short course ambazo ni mandatory kwa seafarer
 
Ni kweli ni kuchangamkia fursa.
Nahis mtoa mada hajaelewa hata kitu anachooulizia huenda hata hajasomea zile short course ambazo ni mandatory.
Nina mashaka na ubaharia wake,,

Hata katandula pia hamjuwi kwa kumpata,,
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…