Msaada katika uandikaji wa barua ya maombi

Msaada katika uandikaji wa barua ya maombi

Joseph msai

Member
Joined
Aug 8, 2020
Posts
6
Reaction score
2
Mimi ni kijan mwenye umli wa miaka 22 ninaomba mchngo/msaada wenu wadau katika upnde wa uandkaji wa barua ya maomb ya kazi. Barua znatofautiana kwa upnde wangu mimi barua ninayoinzngumzia ni barua ya maomb ya kazi katika kampuni/shirika linalojiusisha na utoaji wa mikopo.

Kitu kikubwa ninachoomb ni vitu gani viwe suggested au vya mhimu ndani yakee. Asanteni.
 
JOSEPH MSAI
S . L .P .....
IGANGABHILILI
MKURUGENZI MKUU,
SIDO,
S . L .P.....
MWANZA.
YAH: MAOMBI YA KAZI/MKOPO.........
Husika Na Kichwa Cha Habari Cha Hapo Juu
Mimi Ni Kijana Mtanzania Mwenye Umri Wa Miaka.....
. ..........
.........
..........
.......
Wako Mtiifu.
.......
.......
 
Uandishi wa barua za kikazi na urafiki zinafundishwa darasa la saba,mtoa maada unakwama wapi?
 
Jifundishe kuandika kwanza,
Uandishi wako ni wa kivivu na sio uandishi sahihi.
 
Uandishi wa barua za kikazi na urafiki zinafundishwa darasa la saba,mtoa maada unakwama wapi?
Kwani ni nini maana ya kuomba msaada. Bro si kila kitu unaelewa. Ni vema kam ungepita bila kuandika chochote ikiwa haukuwa na la kuandika.
 
Back
Top Bottom