ndio hapo mkuu, hata programming za coding zinachora picha vizuriSiyo lazima ung'ang'anie hicho kipaji! Jaribu na shughuli nyingine. Hata sisi wenzako tuna vipaji lukuki! Lakini mwisho wa siku tumeishia tu kuwa walinzi wa Halmashauri! 😇
Wewe vipi bhana! Uko Mwanza unashindwa hata kuuza samaki! Umeng'ang'ania tu kipaji cha uchoraji! Hivi unafahamu teknolojia imerahisisha sana hiyo fani yako?
Yaani kwa sasa ni kuingia tu kwenye mtandao unatafuta maprogram ya kila aina ya graphics na ma designs!! Huna hata sababu ya kuvimba wiki nzima kuchora picha ya mtu.
Nikipiga kuattach files inakataa kwaniniNgoja nikupe siri mkuu, umeandika vizuri ila hayo ni maneno ambayo yeyote anaweza zungumza.
Ungeweka picha ya kazi zako bila maneno mengi ingekuwa rahisi zaidi.
Hushawahi sikia story ya maisha ya Adam Mchovu (mtangazaji clouds)?
Fanya, weka watu waone kinachofuata ni kibali.
Support huwezi kosa kuna watu wana pesa wanatafuta wapi pa kuziweka zikue zaidi ila wanahitaji watu sahihi.
Kiufupi weka kazi zako tuzione mkuu
Jiendeleze wewe mwenyewe kupitia mafunzo ya mtandaoniHabari ya uzima wapendwa, tumshukuru Mungu kwa kutupa uhai bure, kwa siku nyingine tena imenipendeza kuwaleteeni changamoto hii ambayo naona ipo juu ya uwezo wangu.
Mimi ni kijana mwenye umri 25 years old,nimekulia maeneo ya kijijini, kipaji changu cha uchoraji kiligundulika toka nipo shule ya msingi japo sikuwa naelewa kitu kuhusu kipaji, basi nimeendelea hivyo hadi nikajitambua kuwa nina kipaji na watu kuniambia kuwa nina kipaji hicho.
Nifupishe story, nikaanza kuwachorea watu hapo kijijini nikaanza kufahamika vizuri nami sasa nukatambua kweli hiki ndo kipaji changu nikaanza kuifurahia hiyo kazi yangu.
Changamoto:
Mwaka 2018 nilipata changamoto iliyo nifanya nikatoka nyumbani nikaaingia jijini Mwanza bila kutegemea, so kuanzia hapo kipaji changu kikapoa, ilikuwa kama safari ya dharura so nikakoswa namna ya kuanza na nianzie wapi, bahati nzuri nilifikia kwa anko alikuwa na kazi nikaanza kukomaa nae,, lakini japo nilipata kazi shauku yangu ilikuwa kipaji changu tu,,
Kiufupi :
Mpaka sasa nipo tu nimetulia na kipaji changu hapa Mwanza, huwa nikiona hata picha zilizo chorwa na wenzangu nahamisika sana lakini kuchukua hatua nashindwa.
Ushauri wenu naamini humu wamo wenye kipaji cha uchoraji,
* Je, nianzie wapi wapendwa ili kuendeleza kipaji changu.
* Nitajulikanaje na mimi kama wenzangu.
* Kuna jamaa nilimfata kipindi nafika hapa Mwanza ili anifue alinitema alinikatalia.
* Nahisi umri wangu umeenda kufatilia kipaji changu na kukikuza, je nipo sahihi au nimawazo hasi.
Ushauri wenu utakuwa muhimu sana juu ya kipaji changu, hadi natamani nirudi kinijini nikaendelee huko, labda mambo yatakaa sawa.
Nipo kwenye changamoto ya mawazo, na sijapata kazi rasimi yakuendesha maisha yangu nikipata familia,, kuna kazi ambayo naifanya lakini hainifurahishi na kama sioni future mbele kupitia kazi hiyo.
Wapendwa wachoraji wenzangu mi nipo Mwanza, natamani sana nashindwa nianzie wapi
Nahitaji mentor wakuniongoza ili nifikie malengo yangu, shetani yupo kuharibu mipango na maisha ya watu, kwa changamoto niliyoipata huko kijijini nahisi ndo iliharibu future yangu.
Niishie hapa wapendwa na Mbarikiwe sana.
Bin Shaib Official 2021.
Siyo lazima ung'ang'anie hicho kipaji! Jaribu na shughuli nyingine. Hata sisi wenzako tuna vipaji lukuki! Lakini mwisho wa siku tumeishia tu kuwa walinzi wa Halmashauri! 😇
Wewe vipi bhana! Uko Mwanza unashindwa hata kuuza samaki! Umeng'ang'ania tu kipaji cha uchoraji! Hivi unafahamu teknolojia imerahisisha sana hiyo fani yako?
Yaani kwa sasa ni kuingia tu kwenye mtandao unatafuta maprogram ya kila aina ya graphics na ma designs!! Huna hata sababu ya kuvimba wiki nzima kuchora picha ya mtu.
Tutakushaur Nini umeshindwa hata kuonyesha picha moja ulio chora sisi ndio tutakuambia Kama unakipaji sio wwHabari ya uzima wapendwa, tumshukuru Mungu kwa kutupa uhai bure, kwa siku nyingine tena imenipendeza kuwaleteeni changamoto hii ambayo naona ipo juu ya uwezo wangu.
Mimi ni kijana mwenye umri 25 years old,nimekulia maeneo ya kijijini, kipaji changu cha uchoraji kiligundulika toka nipo shule ya msingi japo sikuwa naelewa kitu kuhusu kipaji, basi nimeendelea hivyo hadi nikajitambua kuwa nina kipaji na watu kuniambia kuwa nina kipaji hicho.
Nifupishe story, nikaanza kuwachorea watu hapo kijijini nikaanza kufahamika vizuri nami sasa nukatambua kweli hiki ndo kipaji changu nikaanza kuifurahia hiyo kazi yangu.
Changamoto:
Mwaka 2018 nilipata changamoto iliyo nifanya nikatoka nyumbani nikaaingia jijini Mwanza bila kutegemea, so kuanzia hapo kipaji changu kikapoa, ilikuwa kama safari ya dharura so nikakoswa namna ya kuanza na nianzie wapi, bahati nzuri nilifikia kwa anko alikuwa na kazi nikaanza kukomaa nae,, lakini japo nilipata kazi shauku yangu ilikuwa kipaji changu tu,,
Kiufupi :
Mpaka sasa nipo tu nimetulia na kipaji changu hapa Mwanza, huwa nikiona hata picha zilizo chorwa na wenzangu nahamisika sana lakini kuchukua hatua nashindwa.
Ushauri wenu naamini humu wamo wenye kipaji cha uchoraji,
* Je, nianzie wapi wapendwa ili kuendeleza kipaji changu.
* Nitajulikanaje na mimi kama wenzangu.
* Kuna jamaa nilimfata kipindi nafika hapa Mwanza ili anifue alinitema alinikatalia.
* Nahisi umri wangu umeenda kufatilia kipaji changu na kukikuza, je nipo sahihi au nimawazo hasi.
Ushauri wenu utakuwa muhimu sana juu ya kipaji changu, hadi natamani nirudi kinijini nikaendelee huko, labda mambo yatakaa sawa.
Nipo kwenye changamoto ya mawazo, na sijapata kazi rasimi yakuendesha maisha yangu nikipata familia,, kuna kazi ambayo naifanya lakini hainifurahishi na kama sioni future mbele kupitia kazi hiyo.
Wapendwa wachoraji wenzangu mi nipo Mwanza, natamani sana nashindwa nianzie wapi
Nahitaji mentor wakuniongoza ili nifikie malengo yangu, shetani yupo kuharibu mipango na maisha ya watu, kwa changamoto niliyoipata huko kijijini nahisi ndo iliharibu future yangu.
Niishie hapa wapendwa na Mbarikiwe sana.
Bin Shaib Official 2021.
Ndugu yangu..hongera kwa kujua kipaji chako..wengi bado tunasota kujua kitu gani hasa tumeumbiwa na mwenyezi mungu. Nakutia moyo hujachelewa!Habari ya uzima wapendwa, tumshukuru Mungu kwa kutupa uhai bure, kwa siku nyingine tena imenipendeza kuwaleteeni changamoto hii ambayo naona ipo juu ya uwezo wangu.