Kiraka Kikuu JF-Expert Member Joined Oct 3, 2011 Posts 5,903 Reaction score 2,000 Oct 10, 2020 #1 Habari wakuu. Nipo kwa muda hapa Lamadi wilaya ya Busega mkoa wa Simiyu. Naomba msaada kwa anae fahamu location ya kanisa la TAG lililo maeneo ya Lamadi. Natanguliza shukrani.
Habari wakuu. Nipo kwa muda hapa Lamadi wilaya ya Busega mkoa wa Simiyu. Naomba msaada kwa anae fahamu location ya kanisa la TAG lililo maeneo ya Lamadi. Natanguliza shukrani.
Kiraka Kikuu JF-Expert Member Joined Oct 3, 2011 Posts 5,903 Reaction score 2,000 Oct 10, 2020 Thread starter #2 Msaada tutani please
Jeceel JF-Expert Member Joined Feb 6, 2018 Posts 1,476 Reaction score 3,116 Oct 10, 2020 #3 Kama umekosa kanisa ulizia msikiti zote ni nyumba ya ibada zama ndani kafanye ibada yako Kisha ondoka
Kama umekosa kanisa ulizia msikiti zote ni nyumba ya ibada zama ndani kafanye ibada yako Kisha ondoka
E EMG1 Member Joined Oct 7, 2020 Posts 72 Reaction score 135 Oct 10, 2020 #4 Sasa mkuu suala la mahali lilipo kanisa ni hadi jf? Bahati nzuri uko sehemu husika bora hata umkodi bodaboda akupeleke
Sasa mkuu suala la mahali lilipo kanisa ni hadi jf? Bahati nzuri uko sehemu husika bora hata umkodi bodaboda akupeleke
Kiraka Kikuu JF-Expert Member Joined Oct 3, 2011 Posts 5,903 Reaction score 2,000 Oct 10, 2020 Thread starter #5 Jeceel said: Kama umekosa kanisa ulizia msikiti zote ni nyumba ya ibada zama ndani kafanye ibada yako Kisha ondoka Click to expand... Duuh
Jeceel said: Kama umekosa kanisa ulizia msikiti zote ni nyumba ya ibada zama ndani kafanye ibada yako Kisha ondoka Click to expand... Duuh
sky soldier JF-Expert Member Joined Mar 30, 2020 Posts 5,406 Reaction score 19,373 Oct 10, 2020 #6 EMG1 said: Sasa mkuu suala la mahali lilipo kanisa ni hadi jf? Bahati nzuri uko sehemu husika bora hata umkodi bodaboda akupeleke Click to expand... Hata jf pia inasaidia,
EMG1 said: Sasa mkuu suala la mahali lilipo kanisa ni hadi jf? Bahati nzuri uko sehemu husika bora hata umkodi bodaboda akupeleke Click to expand... Hata jf pia inasaidia,