Msaada; kampuni za G.I.S

Msaada; kampuni za G.I.S

shaazy

Member
Joined
Dec 1, 2016
Posts
7
Reaction score
3
wadau naombeni mwenye kujua mahali zilipo kampuni zinazojihusisha na G.I.S kwa hapa dar zilipo? nnazozijua hata 5 hazifiki hivyo naomba mwenye kuzijua mahali zilipo anitajie.
 
ebu zitaje izo tano kwanza tuzione.mana hata mimi nina shida nazo..
 
unapoandika kitu,elezea hyo abbreviation ina stand for what? inakuwa vizur zaid watu watafahamu unamaanisha nini.
 
nadhani atakuwa alimaanisha Gis ( geographical information system)....

kama una ifahamu ebu tudokezee apo mkuu
 
hapana mkuu,sifahamu mi nilitaka kujua tu kirefu chake na maana yake.thanks mefahamu
 
wadau naombeni mwenye kujua mahali zilipo kampuni zinazojihusisha na G.I.S kwa hapa dar zilipo? nnazozijua hata 5 hazifiki hivyo naomba mwenye kuzijua mahali zilipo anitajie.
Wewe umesomea GIS?? Zipo kampuni nyingi tu. Tena kubwa. Kwa sasa makampuni mengi makubwa lazima yawe na GIS department. Kwa mfano TANESCO wana idara mpya kabisa ya GIS, mimi nimefanya kazi huko.
 
mkuu mimi nimesoma hiyo GIS kama kozi kipindi nipo chuoni na kubahatika kufanya nayo kazi field na kuitumia ktk project yangu..

vipi nataka nijarbu kuomba nafasi ya internship au volunteer apo TANESCO vipi ukicheki upepo naweza fanikiwa...

shukrani
 
Wewe tu mzee. Umesomea chuo gani kwanza? Na je umesoma GIS kama degree program au umesoma kama kozi tu ya semister moja??
 
Kweli ww ni blank page. Jina lako linasanifu yaliyomo kichwani
sawa mkuu,nashkuru tuendlee kudharauliana ivo2 siku moja tutaheshimiana ...kija kujua mtu unaemdhani blank kumbe kakuzidi.thanks......gt
 
Wewe tu mzee. Umesomea chuo gani kwanza? Na je umesoma GIS kama degree program au umesoma kama kozi tu ya semister moja??
si umsaidie hapo juu mkuu aleleta mada kumtajia hizo kampuni mkuu?
 
Wewe umesomea GIS?? Zipo kampuni nyingi tu. Tena kubwa. Kwa sasa makampuni mengi makubwa lazima yawe na GIS department. Kwa mfano TANESCO wana idara mpya kabisa ya GIS, mimi nimefanya kazi huko.

nimesoma kama course
Wewe umesomea GIS?? Zipo kampuni nyingi tu. Tena kubwa. Kwa sasa makampuni mengi makubwa lazima yawe na GIS department. Kwa mfano TANESCO wana idara mpya kabisa ya GIS, mimi nimefanya kazi huko.

mention basi hayo makampuni
 
kuna Geomaps, inforbridge, TMAA , ESRI, ramani huria pia nao nadhan

weka na hizo zako tano mtoa mada..
 
nnazo zijua nyingine umezi-mention hapo juu, kuna Geomatics pia. Nlisema nizijuazo hazizidi tano. Natumai umenielewa
 
Back
Top Bottom