Msaada kampuni ya Social Media

Third Eye

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2012
Posts
373
Reaction score
210
Hello all,
Kuna mtu yeyote anayejua kampuni inayojishughulisha na Social Media management?
Asante
 
Bado hujaeleweka ndugu,hebu edit kidogo ueleweke,
 
Hello all,
Kuna mtu yeyote anayejua kampuni inayojishughulisha na Social Media management?
Asante

kuna mtu namfahamu anaweza kukusaidia. tuwasiliane pm tafadhari
 
Bado hujaeleweka ndugu,hebu edit kidogo ueleweke,

Asante kuna makampuni ambayp hujishughulisha na kufanya management ya social channels i.e., facebook pages, twitter or others za makampuni mengine. Mfano Kampuni X (social media management) ina manage social media za kampuni Y. Sasa mi nauliza kama kuna anayeijua hiyo X kwa hapa Tanzania, ninazozijua ni za Kenya pekee. Naamini sasa nimeeleweka
 
Kama ni management Tuna vijana wanafanya. Ila kama una maana ya marketing...big no!
Kama ni hiyo ya kwanza tuwasiliane. ilaka ni hiyo ya pili hatufanyi!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…