Wadau nimeagizia gari toka Japan, naomba kwa mbaye alishapata huduma ya kutolewa gari lake bandarini vizuri na akapendezwa na huduma ya agent huyo anijuze ili nami niweze kumtumia.Naomba nisaidiwe maana maagent matapeli kibao yamejaa.
Vilevile ningependa nieleweshwe kwa kina juu ya process yenyewe.Je pesa ya kodi si inawezekana nikalipia mwenyewe to TRA so long as ninashirikiana na huyo agent.Naongea yote haya maana nina marafiki zangu washalizwa na maagent matapel.Yaan unamkuta aget anamtel mteja kodi feki na anakuwa na documents feki mwisho wa siku anapiga cha juu.
Au unakuta agent anamzungusha mteja mara ooh ongeza ka laki ipate kuzimuvuzisha documents faster!!!! wakati agent fee walishakubaliana.