MSAADA KAHUSU LAPTOP HP.

Bila bila

JF-Expert Member
Dec 20, 2016
22,045
38,952
Wakuu Laptop yangu hp inawaka lakini haidisplay chochote kwenye kioo, tatizo linaweza kuwa nini?
 
Wakuu Laptop yangu hp inawaka lakini haidisplay chochote kwenye kioo, tatizo linaweza kuwa nini?
Screen, bulbs, bus, ... Kwani hakuna mjuzi wa pc karibu nawe akusaidie tu hata kuikagua kujua tatizo then humu upate solution
 
Jaribu kuiweka hard disk vizur icpo waka bac nenda kwa fund kapime kioo(screen)kinaweza kuwa ndio tatizo
 
nijibu kwanza haya nikusaidie...
1. inawaka kwenye screen ila inaonyesha mwanga tu hakuna chochote!!!

2. inawaka kitaa cha chaji ila kioo hakionyeshi..!!!

3. inawaka kabisa yaan windows inafunguka ila inapofunguka mwishoni inaonyesha nyeusi tu...

4. inawaka burton ya kuwashia tu na inaonyesha mchezo wa kuwaka na kuzima frequently ila kioo hakionyeshi kitu..!!!

usipanik hamna shida hapo nijibu nikusaidie..!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom