Msaada kabat zuri la vyombo

Msaada kabat zuri la vyombo

dadamkubwa

Senior Member
Joined
Sep 3, 2013
Posts
115
Reaction score
21
Nahitaji kabati zuri la kuwekea vyombo liwe la kisasa lakin lisiwe la kichina niko morogoro kwa anayefahamu duka au fundi mzur anakopatikana anijuze
 
kunafund mzuri yuko dar,kama utahitaji ni pm namba yako ili baadae nikutumie picha za kazi zake kwa whatsup ikibidi na contact zake.
 
samahan naomba weka contact zake na picha zake hapa utasaidia weng .
kunafund mzuri yuko
dar,kama utahitaji ni pm namba yako ili baadae nikutumie picha za kazi
zake kwa whatsup ikibidi na contact zake.
 
samahan naomba weka contact zake na picha zake hapa utasaidia weng .

Hata mim naona akiweka picha na contact zake itakuwa vizur zaid kwa sabab itasaidia watu weng pengine si mm tu ninayehitaj
 
kunafund mzuri yuko dar,kama utahitaji ni pm namba yako ili baadae nikutumie picha za kazi zake kwa whatsup ikibidi na contact zake.

Samahan unaeza ukaweka tu hpa hpa jamvin hzo picha na contact zake zikawasaidia na wengine wanaohitaj mkuu
 
Back
Top Bottom