Msaada juu ya vitendawili hivi

beevenom

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2017
Posts
313
Reaction score
433
Wadau habari ya jioni,leo nimepigwa maswali na mwanangu yanayohusu vitendawili,kwa kweli nimetoka kapa.

Tafadhali okoeni jahazi
1. Ajihami bila silaha.....
2.akibeba watoto wake bila kuwashusha.....
3.Kila mtu atapitia mlango huu
.......

Halafu ninyi walimu tunalipa ada bado mnataka tufundishe sisi,au ndo mpango wa kutuabisha kwa wenetu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na wewe kamuulize mzazi wako, kama umeshindwa.
 
1) kinyonga
2)kobe nazani



usirudie kujumuisha waalimu wote iheshimu sana taaluma ya elimu (ualimu) inauwezo wa kuwafanya wapumbavu nnchi nzima ndani ya sekunde bila wao.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…