Shukran will doMkuu dawa ni ndogo sana,
Fanya hivi,
Fikiria kuhusu kupona tatizo lako kila siku,
Fikiria mara nyingi kadri uwezavyo,
Kisha chukuria kama tayari umepona huku ukiweka imani kali toka ndani yako na unafurahi kwa sababu umepona na hausumbuliwi tena na hilo tatizo ,
Hapo utakuwa umepanda nguvu ndani yako bila kujua itakuwa na kustawi na itabaki kuwa historia,
NB: ondoa roho ya hofu wakati ukifanya hayo maelekezo niliyokupa ( Ikatae ile sauti itakayo kuwa inakuambia kuwa unajidanganya kwa kutumia mbinu hii, utaikataa kwa kusema maneno yafuatayo NINA NGUVU ISIYO ONEKANA NA IMENIPONYA, kisha fikiria jambo jingine unalolipenda kwa walati huo),
Epuka kuwaza kuwa haujapona hapo utakuwa umevuruga nguvu iliyondani yako na hautapata matokeo sahihi ,
Ni sawa na kupanda mbegu na kuifukua huku ukitegemea kuona mche ulio chipua .
Ni rahisi sana ,
Practice it and receive the miracle.
Mrudie mungu utapona kaka..Mkristo
THE POWER OF I AM!Mkuu dawa ni ndogo sana,