bishankara
Senior Member
- Feb 21, 2012
- 140
- 8
mnunulie mafuta ya nazi plus mafuta ya ubuyu plus asali...atakimbiza mtaa mzima
🙂
Umefika mbali sana na mchumba wako hadi una mchagulia mafuta ya kujipaka usiyo yajua !!
Muache bwana mwili wake na acha ajipake mafuta apendayo.
Nenda SH Amon kama upo Arusha au Dar, utapewa ushauri mzuri kulingana na ngozi ya kidosho wako.
mnunulie mafuta ya nazi plus mafuta ya ubuyu plus asali...atakimbiza mtaa mzima
ngoja nianze kuyasaka hayo mafuta ya ubuyu.... Mrembo by Nature please do the needful.......body white ni cream kali ambazo zinabadilisha kdg rng ya mwl kwhy mnulie tu vaseline lotion au nivea zinat5osha au ht himalaya ya watoto nzr tu tafuta losheni zake achana na maheka heka ya dunia ataharibu ngozi bure. Hata mafuta ya ubuyu mbn poa kbs....
Mafuta ya Baby Care ndio mwishi wa matatizo.
duu kitu cha enzi za mwalimu
Asante mkuu, yy yuko mkoa na mm mkoa na ni vigumu sana kufika arusha au dar. Kwa hyo kama inawezekana unaweza kunisaidia and then mm niende duka la vipodozi ninunue. Yeye ni mweupe japo si sana na hapendi ngozi yake ibadilike make akijichubua atakuwa mweupe sana kama mzungu, na yeye hapendi hvyo. Anataka ngoz yake ibaki laini pasipo kemikali hatari kwa ngozi.
ngoja nianze kuyasaka hayo mafuta ya ubuyu.... Mrembo by Nature please do the needful.......