Kwa experience... Kufanya transfer sio tabuu sanaaa...nenda chuo unachotaka...ulizia nafasi kama zipo za course husika...sharti uwe na passmark zinazowianaa kama ilivyoainishwa kwenye guide book ya TCU...kama nafasi ipo sidhani kama litakua tatizoo!
Kuhusu habari ya jinaa kupelekwa TCU n issue ya chuo ulichohamia.
Na TCU ndo watapeleka majinaa loans board na mkopo wako utahamishwaa kama kawaidaaa ingawa n kwa kuchelewa!