Msaada juu ya uwezekano wa kuhama chuo


cost bro, dg langu kapata kcmc ao st.joseph gharama yao kubwa sana kitu ka inafika milion 3 halafu wao kila kozi ni miaka minne,, na family yangu bi mkubwa tu ndo anaetusomesha, napata wakati mgumu bro, ahueni sua ni milioni 1263000 kama hawataongeza ada yao
 

Kama umetumiwa admission basi umechaguliwa hapo..chakufanya ni kwamba TCU watatangaza wanaotaka kufanya transfer utaomba japo kunakuwa na usumbufi sana...ikiwemo itakubidi uwepo songea ufanye registration...

Dah ila songea pamekaa kushoto sana nakifaham icho chuo kipo Ruhuwiko...asee ufanye mchakato
 

Kwa competition iliyopo cizan kama watatangaza transfer...u'll have to do it on your own... hapo kwenye herufu kubwa..i don thnk if u can be transfered kama ushafanya registration...
 
Kwa competition iliyopo cizan kama watatangaza transfer...u'll have to do it on your own... hapo kwenye herufu kubwa..i don thnk if u can be transfered kama ushafanya registration...

Nijibu maswali haya...Unajua utaratibu lakini?kama ujaenda chuoni hiyo transfer unafanyia ukiwa wapi?unajua kama transfer kuna kukubaliwa na kukataliwa?ukikataliwa je na wenzako wamesha sajiliwa utasoma wapi na haujasajiliwa?

transfer lazima watangaze kuna vyuo vingi tu vinareseave.
 

...gud...utaratibu naujua, nishaufanya na nimewaona watu wakifanya kwa miaka iliyopita tangu huu utaratibu uanzishwe..and transfer inafanywa kabla hujaenda kwenye chuo chochote (kwa utaratibu wa tcu coz wao ndo middlemen kati yako wewe na vyuo husika) but for simplicity watu wanaanzia kwenye chuo anachokitaka ili kuwa na uhakika wa nafasi...do u think z t logical aombe transfer ya kwenda sua moro wakati yeye yupo songea?..and as far as i know kama transfer ikikataliwa nafaci yake kule st joxee inabaki palepale provided hajazidisha muda..and unasema kuna vyuo vingi vina reserve..yeye hapo juu kakwambia anataka chuo gani na coz gan?.hajasema kuwa anataka chuo chochote guy.kasema anataka sua
 
bro nime apply sua morogoro, songea wamenipa agrcltr engrng while target yangu n animal science afu songea gharama ni kubwa sana karibu M3 na kidogo

Aisee kama ulikijaza cha pili ndo washakuchagua maana wengi wanakikimbia kwanza ada yake ipo juu sana 2.75m na zaidi hlf St. Joseph matatizo yake mengi yalishaanikwa hapa. Ila utaanza kusoma St. Joseph ya dar hlf umalizie kule Songea
 

and in addition ukishafanya registration all indirect cost (fee and others) zinalipwa na loan board kwenye chuo husika and kama ukitransfer by any means huko unakokwenda hutakuta pesa yako and itakubidi ujilipie ada na vitu vyote...unajua hata maana ya registration lakin?...common guy...dat means u are verified to be there....
 

Registration sio swala la wiki 1 au 2 sometimes goes mpaka mwezi..i wonder chuo gani bado kitakuwa kinaendelea kusubiru ww ufanye registration...
 
Registration sio swala la wiki 1 au 2 sometimes goes mpaka mwezi..i wonder chuo gani bado kitakuwa kinaendelea kusubiru ww ufanye registration...

Registration huchukua almost two weeks na vyuo vingin huwa wanautaratib wa kuongezewa watu muda karibu na UE ili ataambao hawakulip ada walip na kupta usajili ,,kwa kweli kuhama ni ngumu kiliko kawaida asa kwa mazingira ya bongo(rushwa),na pia shindani hivyo chuo km SUA kua na nafsi ni shuguli,,afu ivo vyuo hukimbiwa sana so kutoa ruhusu ya kuama ni shuguli labd kam unaenda kwao,,,mwisho kam ni mtu wa imani omba saana na km siyo jaribu,Mungu ni mwema atakujibu na utakapoend kusoma kua na amani kua karuhusu ilo,,,Mungu akusaidia koz naelewa how u feel usijisikie vibay na pigana kiume ushinde.
 
vp kwa mtu anayetaka kuhama udom kuhamia dit... anaweza pata nafasi hapo dit?
 
kuhama chuo ni rahis ndugu sema mkopo ndo unaweza kuchelewa tena ukienda tcu waambie huwezi kumudu gharama za st joseph hiyo ni sababu tosha ya kukuwezesha kuhamishwa
 

1999999999.999999999 likes...u are great
 
Registration sio swala la wiki 1 au 2 sometimes goes mpaka mwezi..i wonder chuo gani bado kitakuwa kinaendelea kusubiru ww ufanye registration...

Dude education is business nowdayz.....and especially to private universities...am tellin u kuna baadhi ya vyuo registration inafanyka hadi mwez wa kwanza...just to accomodate more student and hence more money....
 

Subiri post zza sua zitoke kipindi hki weng wanalalamika wanatumiwa ujumbe na tcu lakin wakifatilia wanaambiwa ujumbe ulituma kimakosa
 
Mkuu mie mwenyewe nagombana na mdogo wangu hapa.Amechaguliwa AJUCO Songea MD lakini hataki eti yeye alitaka Nursing ya Muhas kisa tu ipo mjini

Songea life simple sana, geto buku 20000 mpaka 25000 self, maji yapo bure ya kisima, na kama hapo wamevuta bomba bac ni bata batan, kula wali wenye mishikaki, maharage,mboga za majani na kachumbar kwa 1000 ni kawaida sana

Ongea vzur na kijana
 
Songea life simple sana, geto buku 20000 mpaka 25000 self, maji yapo bure ya kisima, na kama hapo wamevuta bomba bac ni bata batan, kula wali wenye mishikaki, maharage,mboga za majani na kachumbar kwa 1000 ni kawaida sana

Ongea vzur na kijana

Umeme vipi hausumbui tena?
 
Mimi pia nahitaji msaada huo Mimi pia nahitaji msaada huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…