msaada juu ya uvimbe huu

Son.j

JF-Expert Member
Jan 10, 2013
998
2,305
uvimbe katika shavu, mwanzoni nilifikiri ni matezi(tonsils) lkn siyo, una siku tatu haupungui wala hauongezeki. mda wote huo nlikuwa nkitumia septrin lakini sioni mabadiliko naomben msaada ni dawa gani nitumie.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom