Msaada juu ya tatizo la liver shrinking (cirrhosis)

Mungu amfanyie wepesi, kuna baadhi ya mambo madaktari wetu wanasababisha. Wengine ni kama waganga wa kienyeji tu, tiba yao haitofautiani na kupiga ramli, wao kidogo wanakimbilia vipimo, mwishowe gharama zinakuwa kunwa mnoo.
 
Habari wakuu naomba kujuzwa hili tatizo linatibika au ni namna gani linaweza kua solved
Historia fupi :

Mwenye tatizo hili ni dada yangu ameanza kuumwa tu bile kujua tatizo tangu mwaka 2019 mwanzoni kabisa alikua na tendemcy ya kuvimba vimba sehemu mbalimbali za mwili mara miguu,uso,mikono na hata tumbo pia anavimba vimba tukaenda hospital ya mloganzila akafanyiwa vipimo awali walisema tatizo lipo kwenye figo (Nephrology) akaanza clinic pale ila hali ilikua ni ile ile kila mwezi yeye ni wa kulazwa tu hospital kwa kutokana na kuvimba vimba na kushindwa kupumua halikusaidia lolote zaidi ya wakawa wanamyoa maji tu kisha anapata nafuu tunarudi ila mwisho wa siku baada ya muda hali inarudi tukamuhuamishia muhimbili pale wakaanza upya vipimo nao wakaja na majibu yao kuwa ana NEPHROTIC SYDROME na kusema tatizo lipo mwenye figo hii ilikua ni mwaka 2020 kikubwa nao wakamwanzishia clinic ya figo huku akiwa na tatzo lile lile la kuvimba na kujaa tumbo na miguu wanachofanya ni kumtoa maji tu

Kila mwezi ni wa hospital mwaka huu mwanzoni watu wa clinic ya figo wakasema kua hana matatizo kabisaaa kwenye figo na figo zake zipo safi kabisa wakapima tena vipimo na wakasema ana tatizo la ini kusinyaa (cirrhosis) sasa wakaanza clinic nao ila majibu ndo hayaeleweki na wamempa miezi 3 akaenyumbani ndo aje clinic hiyo ilikuwa mwezi wa January mwaka 2021 mpka nazungumza sasa ameshaenda kutolewa maji na kulazwa muhimbili mara 4 hadi sasa .

Naomba msaada wa kujuzwa vyema hili jambo wapi naweza saidia nimeambatanisha na baadhi ya dawa na majibu ya vipimo NAWASILISHA


View attachment 1704570View attachment 1704571View attachment 1704572
Mkuu maradhi yako yanatibika na kupona kabisa kwa dawa za asili nitafute kwa wakati wako ili niweze kukutibia upate kupona maradhi yako uguwa pole.
 
Mtoto kupitia changamoto hz inauma sana-Kama mzazi pole sana.
Binafsi nilikuwa naumwa sana Acid reflux bila kujua,kwenda hospital daktari akaniandikia madawa ya koo ambayo kumbe side effect ya hzo dawa ni kupelekea ubaya wa tatizo langu.Tatizo lilipokuwa linazid kuwa baya zaid nikahamia hospitali nyingine ambapo Dr. akaniambia ni H pylori tumboni anasababisha,nikaamia kwenye hospitali nyingine kuthibitisha ndo nikakutana na Dr.Primus naye akaniambia ni H pylori,hapo at least confidence ikaja.
Kwa Tanzania,Referral hospital nzuri naona ni KCMC, Muhimbili mizunguko mingi sana.
Vipi ulipona tatizo?
 
Back
Top Bottom