Sifi Leo Platinum Member Joined Mar 30, 2012 Posts 6,238 Reaction score 11,622 May 17, 2016 #1 Habar za jioni ndugu zangu, Mimi ni kijana nahitaji kujua jinsi ya kuweza kupata eneo maeneo yanayozunguka rufiji. Natakiwa nianzie wapi? Je, ni kweli hawa jamaa wanaweza wakakupa eneo, na vitendea kazi vya kilimo? Kama ni kweli mchakato unaanzaje?
Habar za jioni ndugu zangu, Mimi ni kijana nahitaji kujua jinsi ya kuweza kupata eneo maeneo yanayozunguka rufiji. Natakiwa nianzie wapi? Je, ni kweli hawa jamaa wanaweza wakakupa eneo, na vitendea kazi vya kilimo? Kama ni kweli mchakato unaanzaje?
Troublemaker JF-Expert Member Joined Jun 8, 2015 Posts 20,809 Reaction score 40,560 Jun 21, 2016 #2 jaman wenye utaalam mje na sisi wengne tunufaike
Mwelewa JF-Expert Member Joined Jan 5, 2011 Posts 2,343 Reaction score 3,286 Jun 21, 2016 #3 Hiyo ni taasisi bila shaka? Hawana website/ukurasa kwenye social media yeyote? Anzia hapo......naoma post yako ipo toka tar 17.
Hiyo ni taasisi bila shaka? Hawana website/ukurasa kwenye social media yeyote? Anzia hapo......naoma post yako ipo toka tar 17.
ISIS JF-Expert Member Joined Apr 20, 2016 Posts 96,072 Reaction score 858,578 Jun 21, 2016 #4 mtafute Evans 0654900020 ana sehemu kubwa, labda mnaweza kushirikiana... ubarikiwe
e2n JF-Expert Member Joined Dec 24, 2015 Posts 637 Reaction score 796 Jun 22, 2016 #5 Nitafute kwa namba hizi0685659680 mm nipo rufiji na ninaeneo lipo kandokando ya mto tunaweza kushirikishana mawaxo
Nitafute kwa namba hizi0685659680 mm nipo rufiji na ninaeneo lipo kandokando ya mto tunaweza kushirikishana mawaxo