Msaada juu ya programming languages

Msaada juu ya programming languages

Political stability

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2021
Posts
905
Reaction score
1,409
Wakuu habari

Kwa muda mrefu , ninashahuku ya kujifunza programming language, ila mpaka sasa sijajua nianze na language Ipi, na jinsi nitajifunza..

Najua humu ndani kuna mafundi wazuri wa haya mambo, naombeni ushahuri wenu, nianze na language ipi

Nb: Sio kwamba nataka nijifunze kwa kujifurahisha, ila nataka kujua language ambayo ipo kwenye market, na kutengeneza pesa,
 
Umewahi kusoma programming language yoyote?

Kama jibu ni hapana anza ni C kwa kuwa programming language zimeundwa tokea kwenye C hivyo itakupa urahisi wa kujifunza zingine kama C++,C#,Java,Python na zingine bila shida.
 
Wakuu habari

Kwa muda mrefu , ninashahuku ya kujifunza programming language, ila mpaka sasa sijajua nianze na language Ipi, na jinsi nitajifunza..

Najua humu ndani kuna mafundi wazuri wa haya mambo, naombeni ushahuri wenu, nianze na language ipi

Nb: Sio kwamba nataka nijifunze kwa kujifurahisha, ila nataka kujua language ambayo ipo kwenye market, na kutengeneza pesa,
Kama una laptop au computer nzuri anzia hapa for free
 
Wakuu habari

Kwa muda mrefu , ninashahuku ya kujifunza programming language, ila mpaka sasa sijajua nianze na language Ipi, na jinsi nitajifunza..

Najua humu ndani kuna mafundi wazuri wa haya mambo, naombeni ushahuri wenu, nianze na language ipi

Nb: Sio kwamba nataka nijifunze kwa kujifurahisha, ila nataka kujua language ambayo ipo kwenye market, na kutengeneza pesa,
Jifunze Java au Python

Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
 
Jifunze C# siku hizi ni cross-platforms, Python na React; Usisahau SQL. Unatakiwa uwe full stack developer kwanza ndo uanze kuspecialize, kwa sababu utakua umeshapata direction.
 
Web Development
  • PHP(laravel)
  • Python(Django)
  • Ruby(Ruby On Rails)
web design
  • html
  • css
  • javascript
  • Jquery
desktop
  • c++
  • java
  • python
embedded system
  • C
  • C++

IA & ML

C
C++
Java
python (4/10)
 
Wakuu habari

Kwa muda mrefu , ninashahuku ya kujifunza programming language, ila mpaka sasa sijajua nianze na language Ipi, na jinsi nitajifunza..

Najua humu ndani kuna mafundi wazuri wa haya mambo, naombeni ushahuri wenu, nianze na language ipi

Nb: Sio kwamba nataka nijifunze kwa kujifurahisha, ila nataka kujua language ambayo ipo kwenye market, na kutengeneza pesa,
Swali la msingi.

Je unataka kutengeza mobile app au website au desktop software?

Jibu tuendelee.
 
Wakuu habari

Kwa muda mrefu , ninashahuku ya kujifunza programming language, ila mpaka sasa sijajua nianze na language Ipi, na jinsi nitajifunza..

Najua humu ndani kuna mafundi wazuri wa haya mambo, naombeni ushahuri wenu, nianze na language ipi

Nb: Sio kwamba nataka nijifunze kwa kujifurahisha, ila nataka kujua language ambayo ipo kwenye market, na kutengeneza pesa,
Anza na C (To get the general knowledge, structure, syntax etc)

Then fanya html and css (Kwasababu they are simple and you can create simple webpages and getting use to codes, hii itaku-motivate to keep on moving in learning coding)

Then depending on where you want to specialize unachagua languages in accordance to the area of specialization Kama alivyogawanya hapo juu mkuu Cybergates
 
Ushahuri mzur sana... Mm nataka niwe Apps developer, na Ku tengeneza system mbali mbali
 
Web Development
  • PHP(laravel)
  • Python(Django)
  • Ruby(Ruby On Rails)
web design
  • html
  • css
  • javascript
  • Jquery
desktop
  • c++
  • java
  • python
embedded system
  • C
  • C++

IA & ML

C
C++
Java
python (4/10)
Bro kuna utofauti gani kati ya web designing na web development?
 
Back
Top Bottom