mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,334
- 12,466
Habari zenu wakubwa ,tokea zamani nimekuwa nikivutiwa na mfumo wa computer na baadae nikajua unaitwa programing na kutokana na kufuatilia kwa watu wanasema hivi vitu hata mtandaoni unajifunza ,nimeanza na languages rahisi ya HTML na kutokana na nilivyozoea na hitaji kupractise kila ninaposoma so naomba MTU mwenye experience aniambie kuwa ni PC yenye sifa zipi unaweza kutumika kwa kazi hizo apo? na bei yake ikiwa new brand ni ip (PC nahitaji laptop). lengo siku moja nifanye project kubwa kama instergram au whatsap