Njunwa Wamavoko
JF-Expert Member
- Aug 11, 2012
- 5,745
- 2,338
Jamani naombeni msaada juu ya hili cjui mi ndo ugeni wangu au la?naona thread moja inasema 'waliopata mkopo 2012/2013 bofya hapa' hiyo post ukiifungua inakwambia auko supported,,,JE VIPI NI SPECIAL KWA WENYEJI AU?AU INAONEKANA KWANGU 2 NYIE HAMUIONI?NAWASILISHA!