omary khamis
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 402
- 77
window ipi unatumia.Habar wanajf natumia PC aina ya dell ila inanikera kila nikicopy file kutoka kwa mtu niki paste pale ina-paste fresh lakini lile file nikija kulifungua unakuta baazi ya vitu havipo au inakuandia can not run to your PC inakeera sana yan kila file lazima iniandikie ivo sasa sijui PC ina virus au shida nini wakuu?
Sent using Jamii Forums mobile app

Crack software natumia window 10window ipi unatumia.
Mfano wa file zipi zinafanya hivyo? Media file au software? Kama ni software je, ni crack software?
Hiyo ni windows defender, nenda kwenye windows defender then allow to run hayo ma file yatakubali,
Hii siyo solutionJaribu kupiga chini window pandisha recently window
windows defender hapo mkuu ndio inazitafuna hizo file... Cha kufanya zima windows defender (real time protection weka off) wakati unakupi au kudownload hizo file.
Okay thank you nitafanya ivo au smadav nayo inachangia???windows defender hapo mkuu ndio inazitafuna hizo file... Cha kufanya zima windows defender (real time protection weka off) wakati unakupi au kudownload hizo file.
mkuu kama unatumia windows 10 huna sababu ya msingi ya kuwa na antivirus nyingine ifute tu.